Friday, January 6, 2012

TEST YA MARKETING.

Dear Mates;

Test ya Marketing itakua tarehe 20 siku ya ijumaa muda wa kipindi.Kama hakutakua na darasa la ziada ili kupunguza msongamano,tutafanya test katika session mbili siku hiyo hiyo.Test itakua ya muda wa saa moja na swali moja tu,ambalo litatoka either kwenye Marketing Research or Marketing Mix iwapo tutacover kesho.Hivyo kipindi cha kesho KIPO!!

Regards;

Anwar Uvilla,
CR MBA2
0754 893458

No comments:

Post a Comment