Saturday, January 14, 2012

M.E Areas

Dear Mates;



Dr.Kinyondo ameniambia niwaeleze kwamba mtihani  wa semista utakua wa maswali ya mahasabu tu na utahusisha maeneo yafuatayo:



Capital Budgeting
Regression
Elasticity   
Time value money                         

                
Hakutakuwa na maswali ya kuelezea.



Na pia jamani,Mwalimu HANA tatizo na sisi kama ambavyo wengi wetu tunavyoongea,kutokuingia darasi kunatokana na ” academic responsibilities” nyingine alizonazo,hata hivyo ni topic moja tu iliyobaki nayo ni Capital budgeting amabayo ataifunsiha jumatano ijayo.



Ameniahidi kusahihisha zile assignments na term papers tulizofanya na kama course work haitopendeza  miongoni mwetu,atatupa assignment nyingine turudie ili kujazia hapo.



Kwa wale wote amabao bado hawajasubmit assignment zao ama term papers basi nivyema wakafanya hivyo na nawashauri mkienda muende na barua ya kuelezea  sababu za kutosha kwanini hamkupeleka hiyo kazi on time.



Na kwa yale ma group amabayo hayakufanya maswali waliyotakiwa kuyafanya,mjitahidi kufanya hayo maswali ama muende wote kwa mwalimu as a group kuongea nae kuhusu hyo kazi.


Naendelea kucheck na mwalimu ili atupatia maswali ya review japo anaelekea kuwa mtata.


MUHIMU

Mtihani ni mtihani,pamoja na kupewa areas hizo hapo juu na kunihakikishia kuwa atatoa mtihani hapo,tujitahidi pia  kupitia na areas nyinginezo tulizofundshwa .
 
Regards;

Anwar Uvilla
CR MBA2
0754 893458

No comments:

Post a Comment